Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #161
[emoji41][emoji41]unalia nn Sasa[emoji31] [emoji31] [emoji31]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji41][emoji41]unalia nn Sasa[emoji31] [emoji31] [emoji31]
Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Aisee, yani na kujitutumua kote huko bado sijaeleweka kweli[emoji12]Hahahaha duhh pole sana,kwaio unataka niondoke bila ya kujua iko kitu[emoji28]
[emoji23][emoji23]Sasa mbona mlijikausha mpk mnaskia nataka kuwakimbiaMbn mm nilishaanza kuonyesha nia acha hizo 😡 😡 😡
Umeonaee[emoji28][emoji28]Atakuaa ana enda jeshi
Nimekusamehe kabisa na usirudie tena kuondoka JF[emoji23][emoji23]nisamehe kwanza kabla sijaquite jf
[emoji31][emoji31][emoji31]
Tatizo majukumu kuwa mvumilivu[emoji23][emoji23]Sasa mbona mlijikausha mpk mnaskia nataka kuwakimbia
Mm sjaelewa [emoji3]Aisee, yani na kujitutumua kote huko bado sijaeleweka kweli[emoji12]
[emoji2]lazma niwakimbie yaanNimekusamehe kabisa na usirudie tena kuondoka JF
I gonna mishh u too dearI will miss you.
HahahaTatizo majukumu kuwa mvumilivu
Npe nafasi ya mwisho sasaHahaha
Nafasi gani io mkuuNpe nafasi ya mwisho sasa