Nitawamiss nyote

Ulivyosema unataka kujitoa humu si kudhani kama ni mapema hivi. Bila shaka umetafakari kwa kina na kuamua kujitoa ili ukabiliane vizuri na majukumu yako. Wengi humu tulishaanza kukuzoea kwa michango yako mizuri iliyoenda shule na yenye hekima na busara. Nakutakia kila la heri na baraka kwenye majukumu yako.

 
Hahaha

Lazima Sakayo aleft bhana
Hata kama Mimi ni Mfupi kama Zakayo lakini nitakuwa juu ya mti kupepesa macho kumtafuta huyo Sakayo popote alipo na kumlejesha tena hapa Jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…