Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Haleft bhana... We muacheArabian Queen ananikumbusha sudan...
Ila soon ataleft humu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haleft bhana... We muacheArabian Queen ananikumbusha sudan...
Ila soon ataleft humu..
ana id nyingineIle id ya kuwowa vipi
Waache kama wanajua kila mtu hapa mkata mauno watajuaKuna watu wanaleta fyoko fyoko mkuu..
Wanajua porini tunaendaga kupaka poda..?
Ndioooana id nyingine
[emoji2]Acha matishio
Kama Vipi uwe Unaenda na mie porini
sudan oyeeeNishaelewa tatizo liko wapi..
Usijali...kuna ishu naweka sawa..
Hata nikienda Sudan mwaka nikirudi nitakukuta unanisubiri..
[emoji2] [emoji2] eti kupaka podaKuna watu wanaleta fyoko fyoko mkuu..
Wanajua porini tunaendaga kupaka poda..?
hakuna banUku ban mkuu
Vunga basi ! Nimtumie Dompo inginesudan oyeee
umejuajeeeUkienda pori utakufa buree mama!
Mbona mdogo wako shunie huwa amfati lee
[emoji2] [emoji2]Hilo pori vipi, mbona leo umelikomalia hivyo
[emoji2] ameghailiHey mbona bado hujaondoka??
[emoji2] [emoji2]Hehehee
Utaniulia mume hakyamama.... Hutaki kucheza kwaito eeh
anatumia naniNdiooo
umtumie nani dompoVunga basi ! Nimtumie Dompo ingine
shangazi kumbe na we ni kibonge mwenzetuHivi hii ndio trend mpya au? Ya kutuma tuma mapicha?
[emoji38]Salam zimefika,wacha nibaki pngn ntafika miaka 200[emoji124]Karibu tena hapa, si wengine miaka mia. Kudadeki kila ukiwasha data unaanza na notifications za jf, acha kabisa.hii kitu. Wasalimie huko sijui saudia au Kuala Lumpur, popote unapoita dinar au labda ni oman riyal, tuko pamoko
Ndio aunty, DNA haidanganyi ujue.shangazi kumbe na we ni kibonge mwenzetu