Nitawamiss nyote

Huyu mtoto masharti yake yamenishinda aisee.

Eti anasema mahali pa mimi na yeye kukutania iwe kwenye maombi tu, huku kwingine anasema anaogopa.
Ahaa hilo tu ndio unashindwa ungekubal tu halafu ule muda wa kunena kwa lugha ungenenea mauongon mwake akiuliza unasema roho mtakatifu kakushukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…