Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosea wap tena mzee
[emoji3][emoji85]wonders.kwanini !!Kuna Cha ziada kimekuvutia,najua kwasbabu ya kuwaaga,Ila mwisho ntaandika jina la account yang ya insta nawaalika nyote kule mtajifunza mengi piaSijawahi kumganda mtu kwenye uzi kama leo.[emoji41]
Santeee[emoji85][emoji3][emoji3]nakuachia dada angu,u r so strong[emoji13]
Hahaha ndio utuliee kama unataka no yangu[emoji3][emoji23]Dah ki ukwel mshanipa mgogoro wa nafsi aisee
Hahaaaa[emoji3][emoji3]nakuachia dada angu,u r so strong[emoji13]
Yaani ukileft kivilee, ukipost vinakuja tuuHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]we ni add tu !!
Mm ntajileft kama ulivyonifundisha[emoji85][emoji87]
Ahaa hilo tu ndio unashindwa ungekubal tu halafu ule muda wa kunena kwa lugha ungenenea mauongon mwake akiuliza unasema roho mtakatifu kakushukiaHuyu mtoto masharti yake yamenishinda aisee.
Eti anasema mahali pa mimi na yeye kukutania iwe kwenye maombi tu, huku kwingine anasema anaogopa.
Shem kuwa na msimamo bhana agrrrrrrMaana nikitetea huku napigwa kibao huku
[emoji3][emoji3]simchukui[emoji13]nakuachia wewe huyoUwiii si umeshasema umeanza kuina huruma? Au huruma imeenda wapi tena?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Ngumu kumeza aiseeKwahyo ntashare na nan au wewe utaongeza upande wako muwe wawil
[emoji23][emoji23][emoji23]tunakujaza mawazo eeEmbu ngoja kwanza daah
Anakusingizia huyo[emoji15]Arabian queen eti nimeanza lini wivu unamuona Bonny anavyonisingizia.
Warereee[emoji3][emoji85]wonders.kwanini !!Kuna Cha ziada kimekuvutia,najua kwasbabu ya kuwaaga,Ila mwisho ntaandika jina la account yang ya insta nawaalika nyote kule mtajifunza mengi pia
Nmechagua uande wako shem sina namna huyu kesho anaondika ntabaki na nan?Shem kuwa na msimamo bhana agrrrrrr