Nitawamiss nyote

[emoji3][emoji85]wonders.kwanini !!Kuna Cha ziada kimekuvutia,najua kwasbabu ya kuwaaga,Ila mwisho ntaandika jina la account yang ya insta nawaalika nyote kule mtajifunza mengi pia
Mtu anayeaga huwa anatia huzuni sana kwa aliowaaga, Cha ziada kinaweza kupatikana pia. Binafsi instagram nilitoka mwaka wa pili huu. Nita install kwa ajili yako.
 
Ahaa hilo tu ndio unashindwa ungekubal tu halafu ule muda wa kunena kwa lugha ungenenea mauongon mwake akiuliza unasema roho mtakatifu kakushukia

We pale kwenye maombi siyo pa kuleta utani mkuu, chezea kwingine ila siyo pale kabisaa.

Huchelewi kupigwa na kitu usichojua kimetoka wapi.
 
So what hii mambo mnajiunga then baadae kuja kutuaga halafu baada ya miezi michache kurudi tena hatutaki. Uliingia kimya toka kimya.
Insha Allah sitorud tena jf,ndio Mana nkaaga.na kuaga ni lengo la kwa wale niliozeana nao tu,kama kwako ni normal pita tu mkuu[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…