Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Si yameshaisha jaman tunahamia kwenye namba sa hvi[emoji13]we Bonny nakuona ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si yameshaisha jaman tunahamia kwenye namba sa hvi[emoji13]we Bonny nakuona ujue
Ha ha ha ha nin hyo aiseeHahahaha usiniombe ile nanihii[emoji15]
Umesahau siku ile ulivonitukana ktk Ile thread yangu,nkakukaushia,Ila nshakusamehe,namuachia mungu[emoji120]Arabian Queen naomba namba zako nitakucheki kuna issue ya muhimu nataka nikuambie
Ha ha hahaSawa ila sio kwa kulazimisha huko [emoji23] [emoji23]
Umesusa bas sawa muachie Arabian queen aje aleHata sitaki tena [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23]hahaha good.mana anajipa Moyo kisa naondoka,au nighairi yaan.[emoji13]bahat yako staki kubak jfMm sitaki kihivyo. Nataka uwe na msimamo na mm tu no matter yupo ama hayupo[emoji38] [emoji38]
Ha ha ha ha nauliza utatoa utoiNshamkatazaaa askupee kwanzaaa
Naomba utuongezee hata ka wiki tutembetembe humu jf sio unavyotuaga kwa gafla hivi maana hadi kimeo changu hiki kilizima nilivyoona huu uzi.[emoji23]ukaniagie na mzeewakungoa pia
Mwisho was siku namuachia jje's na beby wake,Mana mm ninawangu ati[emoji23]nlikua namchemsha kdg,yuko vizuri yaan,she z so perfectHii vita ngumu ila tutashinda ngoja tuone mwisho wake
Ni kweli usemayo,Shukran sana unakaribishwa,lastly ntaeka jina then najitoa jf[emoji120]Mtu anayeaga huwa anatia huzuni sana kwa aliowaaga, Cha ziada kinaweza kupatikana pia. Binafsi instagram nilitoka mwaka wa pili huu. Nita install kwa ajili yako.
Hahaha mm nshapitisha huruma tayariSasa y anakuombea hivyo wkt huruma ishakuingia
Wacha ale tu sina hofu naye kwa kuwa najua kesho jioni anasepa. [emoji2] [emoji2]Umesusa bas sawa muachie Arabian queen aje ale
ThnxKila LA heri, karibu tena,
Hahaha alafu weweeee[emoji13]Hahaha
Sakayo added you
Kama ni kwa ubabe hivyo Arabian queen wa usimpe.[emoji2] [emoji2]Ha ha ha ha nauliza utatoa utoi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananifukuze kabla ya masaa kufikaAkwendwee hukooo
Hahahaha[emoji23]sjui atapewa na naniWala usimpe huyo muache. Na akija kwangu wala simpi nimeshaghairi. [emoji23]
Mbn haya mapenzi hata kutoka jf kichwa chauma[emoji15]Ntakuadd kila siku ujue...
Sakayo added you