Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Mm sitaki kihivyo. Nataka uwe na msimamo na mm tu no matter yupo ama hayupo[emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]hahaha good.mana anajipa Moyo kisa naondoka,au nighairi yaan.[emoji13]bahat yako staki kubak jf
 
Mtu anayeaga huwa anatia huzuni sana kwa aliowaaga, Cha ziada kinaweza kupatikana pia. Binafsi instagram nilitoka mwaka wa pili huu. Nita install kwa ajili yako.
Ni kweli usemayo,Shukran sana unakaribishwa,lastly ntaeka jina then najitoa jf[emoji120]
 
Back
Top Bottom