Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Naomba utuongezee hata ka wiki tutembetembe humu jf sio unavyotuaga kwa gafla hivi maana hadi kimeo changu hiki kilizima nilivyoona huu uzi.
[emoji23]pole sana,hakika ntawakumbuka sana,na ntawamiss sana,ila kwa wnaotaka urafiki wa kudum ntaendelea kuwasliana nao insta,watakua V.I.P
Mana sikubali followers wowote zaid ya watunzi,so nyinyi mtakua special my jf friends[emoji15]
 
Hii ni ishara wachumba JF wanaolewa na sharti la nyumba mpya ni kutokuwa katika social networks. Hii imekaa vizuri, wataingia form six levers kuchukua nafasi yako.
Kila la kheri nje ya JF
 
Back
Top Bottom