Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #661
Hahaha si wako jamani..kuku wako unamlinda kwa manati[emoji23],mie simtak tena nshaghairi atiiWetu tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha si wako jamani..kuku wako unamlinda kwa manati[emoji23],mie simtak tena nshaghairi atiiWetu tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbn haya mapenzi hata kutoka jf kichwa chauma[emoji15]
Yaani hadi raha...[emoji23][emoji23]huachiii,unaniumiza mbav mie
Namba[emoji3]Kwan ulifikiria niniHa ha ha ha nin hyo aisee
Hahaha naona unaimba ile nyimbo[emoji23][emoji23]Ha ha ha ha nauliza utatoa utoi
Nakuonaa nakuonaaaHahaha alafu weweeee[emoji13]
Hana hela huyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananifukuze kabla ya masaa kufika
[emoji23]pole sana,hakika ntawakumbuka sana,na ntawamiss sana,ila kwa wnaotaka urafiki wa kudum ntaendelea kuwasliana nao insta,watakua V.I.PNaomba utuongezee hata ka wiki tutembetembe humu jf sio unavyotuaga kwa gafla hivi maana hadi kimeo changu hiki kilizima nilivyoona huu uzi.
Utani dropia username.[emoji17] [emoji17][emoji23][emoji23]staki povu.muacheni hukohuko,,au mmesahau kama kesho naondoka
HahahaMbn haya mapenzi hata kutoka jf kichwa chauma[emoji15]
Nyimbo swaafiiHahaha naona unaimba ile nyimbo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mi pia stakiiWacha ale tu sina hofu naye kwa kuwa najua kesho jioni anasepa. [emoji2] [emoji2]
Simpi yaan[emoji15]tusimpe woteKama ni kwa ubabe hivyo Arabian queen wa usimpe.[emoji2] [emoji2]
Thank u,sema lady queen,sijafika kua mama[emoji15]Kwaheri ya kuonana mama Queen....kila la heri
Ewaaa [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi pia stakii
Kweli yaan[emoji15]leo ndio napata mapenzi yote haya[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa kabisa mimi tena [emoji2] [emoji2]Simpi yaan[emoji15]tusimpe wote