Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #701
[emoji23][emoji23][emoji23]vinakua vya high quality sioHa ha ha c wajua vya mwisho mwisho vitamu
Nshatulia baba. [emoji23]C utulie
....
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Kipi kinachoendelea hapa shemeji?
Nshatulia baba. [emoji23]
HahahaHahahaha,[emoji23][emoji23]id yako inafanya mambo,
Left
[emoji23][emoji23][emoji23]vinakua vya high quality sio
Hongera bhanaZote mbili[emoji85]
Aku mi sie
Staki [emoji13]Bonny
Usibanduke mpaka kesho jioni...Natamani kuondoka kwenye uzi, naaga lakini siondoki. Nikiona notification tu, narudi.
Kipi kinachoendelea hapa shemeji?
Oouh... penye wazee hapaharibiki neno bwana.Tushayaweka sawa mzee
Bora umekuja. Fatilia toa maamuz[emoji12]Kipi kinachoendelea hapa shemeji?
Nimemwambia aongeze neno aweke msisitizo[emoji38]Tushayaweka sawa mzee
Ngoja bonny anijibu maana najua penye mzee hapaharibiki jambo..Bora umekuja. Fatilia toa maamuz[emoji12]
NisameheUmenikosea sana unaondoka bila kuniachia namba yako ya simu.
Haya njoo uombe msamaha au unipe namba.
UmeonaeeHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kabisaa,hata Mimi sikufikii,Mana umepitiliza ule upendo[emoji85]
Hujambo Kaka DabyKipi kinachoendelea hapa shemeji?
[emoji13][emoji13]huishiwi vituko dada SakayoHahaha
Sakayo left