S.
A.
S.
Wote wanaoleft JF. Niambieni tu unawahamishia wapi
EwaaaaSiwi bwana.. tena kwa swahiba wangu nitajifanya siwawoni
Hahahaahaaa hiz nafsi hupelekea yaliyotokea chuga last day
Hizi tuhuma hazijadiliki ni termination tu... niachie mmoja bwanaKesho naomba kikao cha board mzee tulijadili hili maana ni tuhuma kwa kwel
Na wewe tiririka basi tusukume jahaziKazi anayo. Muda utaongea.
ahaaaa mkuu nyau tena jaman ahaaa kweli unaanzaje kuiacha jf hapa ni 24hrsHahaha
Chunga usile nyau
Ila shemeji wewe Wewee.Ewaaaa
Hapo tu ndo Nakupendaga, unajua nikiwolewa ndo basi tena
Card [emoji388] mchango wako ni muhimu bila kusahau kwaito kwa saanaTunaomba card tu
Too sad. [emoji24][emoji23]pole sana,hakika ntawakumbuka sana,na ntawamiss sana,ila kwa wnaotaka urafiki wa kudum ntaendelea kuwasliana nao insta,watakua V.I.P
Mana sikubali followers wowote zaid ya watunzi,so nyinyi mtakua special my jf friends[emoji15]
We acha tuuKama Ronaldinho viile
Hivi mcheza kwaito ni mamdogo eeeh?We acha tuu
Heheheeahaaaa mkuu nyau tena jaman ahaaa kweli unaanzaje kuiacha jf hapa ni 24hrs
SheeeemejiIla shemeji wewe Wewee.
Kuna namna ati...
Member ambao wako active jf ni wangapi, 2k parefu.Hehehee
We Usibanduke ila narudia.... Chunga
basi nitafutie huyo nyau nimwone ahaaaHehehee
We Usibanduke ila narudia.... Chunga usile nyau
Na wifi mtarajiwaHivi mcheza kwaito ni mamdogo eeeh?
Eeh bwana .Sheeeemeji
Kuna nini tena jamani...
Au Unataka uanze kuwowa wewe
Hahahaha[emoji23][emoji23]uko vizry sana unbelievableHii zaidi ya kutumwa. Unatumwa , unafoward na kushare kwa wakati mmoja.
We pambana bhanaMember ambao wako active jf ni wangapi, 2k parefu.