Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haijaponywa niseme nenoSema lolote na nafsi yangu itapona
Ukicheka na mie najikuta meno yako nje automatically[emoji85][emoji23][emoji3]
Huamini eehHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]tuonee
Hebu fanya upembuzi yakinifu afu unipe mlishonyumaSakayo naona kama bado anakupenda hivi au macho yangu
Sema lolote na nafsi yangu itapona
Ni najaza mwingijeUkinijaza na wewe una......
Embe dodo hili...Hebu fanya upembuzi yakinifu afu unipe mlishonyuma
HahahaHewaala
Nimetamani nimcc mtu hapa ila sharing is Caring
Asante kipenzii,mm nshataarisha khodhra nakula baadae kdg,si unajua Niko kidiet zaidi.Haya kwa vile umeamua sina la kukuambia, karibu sana.
Thank unimekupenda bure bye
[emoji23][emoji23][emoji23]mmetumwa eeeNakuonaa nakuonaaa
We Usibanduke kabisaa
Babu mie sio wa kukuua wewe jamani...Uliniumiza sana moyo. Usirudie tena utaniua bure
Hahaha
Kwa hiyo unajinyakulia chako mapema
mbona unikimbia jf jaman hapa pazur wewe[emoji23][emoji23][emoji23]mmetumwa eee
Hahahaha,wacha nifurahi tu Leo Sina jinsiUkicheka na mie najikuta meno yako nje automatically
[emoji13]nataka nioneHuamini eeh