Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerudi tena.Usibanduke mpaka kesho jioni...
Halafu nisha muadd
HatupimiKifurushi cha halichachi
[emoji85][emoji23][emoji3]Sio rahisi bhana Malkia
Wanasemaga hakuna awali mbovuuWacha nikuache na babu naona naona
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]tuoneeNtskesha hakyamama
[emoji23][emoji85]mko vzryNimerudi tena.
Kwani nimefanya non kwsni nani anashida na heshima yakooo????[emoji34] [emoji34] [emoji34]Jiheshimu utaheshimiwa [emoji57]
Utatengua tu uamuzi.[emoji23][emoji85]mko vzry
[emoji15]I will miss u tho dear sister.sababu zang tu binafs dada yangKwa nn?? Jamani AQ mm hujanikosea lkn nn sababu ya kujitoa jf jamaniiiiii!!!
Maana siku hizi umekua eeh hadi babu zako unatukosea heshima eeehKwani nimefanya non kwsni nani anashida na heshima yakooo????[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Mpk nione 2k comments ndo ntajua kua napendwaUtatengua tu uamuzi.
Nasubiri hiyo comment.
HewaalaWanasemaga hakuna awali mbovuu
HahahaTunaenda kuanza mfungo mzee so acha tuwapishe
Uliniumiza sana moyo. Usirudie tena utaniua bureJust kidding babu akeee
Ko umeamini
WeweSakayo naona kama bado anakupenda hivi au macho yangu
Ukinijaza na wewe una......Haya shemeji nipigie nikujaze bwana
Haya kwa vile umeamua sina la kukuambia, karibu sana.[emoji15]I will miss u tho dear sister.sababu zang tu binafs dada yang
Sema lolote na nafsi yangu itaponaHe he he he he[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]