Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #61
Hahaha umemanisha nn mpendwaPole mwaya, wivu wa mapenzi ndio hivyo inabidi u sacrifice mengine ili kutafuta amani
Umenfurahisha sana et "sina bahat na jf hata wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe bahat znatafutwa [emoji23] I like yo way kuitafuta hyo bahat[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28]
Nifate pmNipe jina unalotumia
PoaNifate pm
[emoji3]Kwan ukiwa mapepe hata kwa chat inajulikana?Huna mapepe mapepe mengi kma vibinti vya humu
Hahaha umemanisha nn mpendwa
[emoji23][emoji23]Kesho mie naaga
Nawe piaRamadhan njema
inajulikana tena bila hata kufikiria sana[emoji3]Kwan ukiwa mapepe hata kwa chat inajulikana?
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]kwann ,nambieKwa post hii kadada, naanza kuelewa ni kwanini unajitoa JF
ungeondoka kimyakimya aisee unazingua kwani ulivyokuja si ulikuja mwenyewe?Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Sitegemei kubadili chochote cz hi Id yang iko vzry tu lkn nmemua kujitoa,so ni uamuz tu binafsAu unabadili ID mkuuu? funguka sbb
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]ahhh si bora niseme kuliko kufa kimyakimyaUmenfurahisha sana et "sina bahat na jf hata wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe bahat znatafutwa [emoji23] I like yo way kuitafuta hyo bahat[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kule inst unatumia kajina gani twende sawa kuleKuna wengine ambao wameleft!?
Kwan wangap wengn waliaga before mkuu!Hii spidi ya watu kuaga humu mbona imekuwa kubwa hivi
[emoji23][emoji23]Wala mbona kawaida tuLazima kuna njemba inakuonea wifuuuuuu ha ha haaaa