Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.

nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.

Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.

Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.

Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.

Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Ooh darlin, I will mic u big.... Plz dont go, your honey still needs u here.. How can I live without u darlin!
 
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]kwann ,nambie
Usijitoe tafadhali bahati yako ipo, sema ni suala la muda tu na subira yako ndo mafanikio yako.
Naomba sasa nitumie nafasi hii kukutaka usitishi mpango wako.
Na kuanzia sasa naomba niwe rafiki yako namba moja.
 
ungeondoka kimyakimya aisee unazingua kwani ulivyokuja si ulikuja mwenyewe?
Nmeamua kuaga,kwa tuliozeana nao lazma wajue kama najitoa jf,ntajiskia vibaya nkiondoka kimyakimya.nlipokuja sikumjua mtu jf ninkwel,lkn Sasa nmewajua na kuwazoea wengi tu kwaio Sion ubaya wowote kuwaaga.
 
images(12).jpg

Hahaha
Au niondoke saivi tuu
 
Back
Top Bottom