Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #81
Kivipi yaan.JF kama daladala........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi yaan.JF kama daladala........
Kumbe,kwaio mm nmetulia eeinajulikana tena bila hata kufikiria sana
Ooh darlin, I will mic u big.... Plz dont go, your honey still needs u here.. How can I live without u darlin!Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Wewe wa tatu ndani ya hii wikiKwan wangap wengn waliaga before mkuu!
Aya bhna sema mdau kasema kweli. Maybe PM yko ina matatzo manake ata me nliku, pm kmyaaHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]ahhh si bora niseme kuliko kufa kimyakimya
Usijitoe tafadhali bahati yako ipo, sema ni suala la muda tu na subira yako ndo mafanikio yako.Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]kwann ,nambie
Unafahamu usafiri wa umma unaoitwa daladala?Kivipi yaan.
Nmeamua kuaga,kwa tuliozeana nao lazma wajue kama najitoa jf,ntajiskia vibaya nkiondoka kimyakimya.nlipokuja sikumjua mtu jf ninkwel,lkn Sasa nmewajua na kuwazoea wengi tu kwaio Sion ubaya wowote kuwaaga.ungeondoka kimyakimya aisee unazingua kwani ulivyokuja si ulikuja mwenyewe?
Sikuaona siku nyingi hapa jukwaani mkuuWewe wa tatu ndani ya hii wiki
Kesho mie naaga
Yap umetulia na unaonekana una kila cifaKumbe,kwaio mm nmetulia ee
Baadae[emoji2]Namba yako ya simu,please
Insta nmeeka posts za vyakul tu,nahis wanaume hazitowafaa[emoji3]Kule inst unatumia kajina gani twende sawa kule
Nipo mkuu sema tu hunioniSikuaona siku nyingi hapa jukwaani mkuu
[emoji3]I will miss u bigger and all jf members.Ooh darlin, I will mic u big.... Plz dont go, your honey still needs u here.. How can I live without u darlin!
HahahaAah bana moyo mashine ila wa kwangu ni wa nyama,msiniumize kihivyo. Napenda comments zenu
Sky eclat,mwngn ni naniWewe wa tatu ndani ya hii wiki