Yupo kule wa mwisho ndo mshindiNtaulizia kwa jirani kama ameonekana.
Hawez ila akiamua kujitoa sina shida maana yuko mikononi mwangu[emoji12]Kuna namna.
Naskia stun kashajitoa eti
Ahaa,sawa bwana......simalizii[emoji3][emoji23]utamalizia wwNafunga kwa sababu za kiafya, kufunga kuna manufaa kiafya.
Na sifungi Ramadhani.Nafunga mwaka mzima.
Mimi siamini katika kuwapo kwa Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We andika bhana
Si ww huishiwi vituko[emoji16]Hilo cheko Vipi
Wacha weeHawez ila akiamua kujitoa sina shida maana yuko mikononi mwangu[emoji12]
Haaaa hata huku tenaaaaa
Hiyo keyboard vipi? Maana mpaka inatabiri maneno kabla hujamaliziaYaani sijaelewa kabisaa
Kumalizana Nini tena Kaka Daby
[emoji3]hahahaha unataka nianzishe wakat nshayafukiaWacha wee
Unamrusha Arabic kwini roho eeeh
Mwche shemeji yangu afurahi bwana. Wewe usimtake yule mimi nipo[emoji3]hahahaha unataka nianzishe wakat nshayafukia
Umepambana si haba. Hecko1k tayari
Mapumziko kwanza
FafanuaNiachie huyu kwini wa kiarabu bwana
Ewaaaa
Hapo umenena shemeji, sasa kadi naituma vipi
Nasema. Muhongo kajiuzulu jana [emoji39]Fafanua