Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Siamini ujueDaby amenipa sweat talk Bonny
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini ujueDaby amenipa sweat talk Bonny
Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Kuna mutu imesema ume left aisee nikaumiaaaDaby amenipa sweat talk Bonny
Unamaanisha wako weng au [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Yupi sasa
Hahahaha si kwa mapenzi hayaEwaaaa
Huyo kaka Vipi
We ulikuwa wapiTumpe na miwani ya mionzi.
Ewaaa, ulizia fursa.Ewaaaa
Huyo kaka Vipi
Mi nipo mkuu hivi nilitaka nimuulizie shunie maana tumepoteana sanaMmh! Unaadimika ndugu. Kulikoni?
NdioEt nimekuhamu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tutamwelewesha.Ha ha ha kaka akipita huku mmmh
Mmmmh[emoji23]nakuaminia
Ya nnMaxence ana taarifa?
Nasikia zipo eti. Unataka nikutafutie [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hehehee
Hivi hamna ndevu za mchina
Kaka yako HujamuonaNdio uamini sasa rafiki yangu. [emoji2] [emoji2]
AsanteAsante mkuu sakayo mi nipo karibu kule kilingeni
Nimekuhamu pia mm[emoji38]Ndio
Kwani vipi my shogaa
Ya kuondoka humu.Ya nn
Tulia Hakuna namna sukar ya warembo tenaSiamini ujue
Mie nakuhamu tuuNipo my dada nambie
He he he sema tena bas kama tutamuelewshaTutamwelewesha.