Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Unanihamuuu[emoji15] hii ndiyo lugha gani tens???Mie nakuhamu tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanihamuuu[emoji15] hii ndiyo lugha gani tens???Mie nakuhamu tuu
EwaaaaPoa. Tucheki hizo redbull auuu??
Ohoooo... wewe type tu mkuu.Yamekuwa hayooo
bamdogo nimeokoka siku hizi siingii hukoNimeshaonana naye yule tena nikimkosaga humu majukwaa yetu namfuata jukwaa la wakubwa.
Siunajua mamdogo wangu ni mkubwa mkubwa ndiyo maana anashinda majukwaa ya wakubwa.
Amekupeleka niniHapo sisemi mie
wewe ndioHeee
Mimi huyooo
Yaanihata mimi yamenishinda niende sehemu nikutane nayo bora nibaki na njaa
Acha hizo bhanaUnanihamuuu[emoji15] hii ndiyo lugha gani tens???
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nimekumbuka pilau la nyagei na mayonnaiseYaani
Bora nile chips kwa mayonnaise
Boss kaondoka vipi?Ewaaaa
Hapo umenena
HahahaOhoooo... wewe type tu mkuu.
Ameeen Kivurugebamdogo nimeokoka siku hizi siingii huko
Wachaa wee mamdogo.bamdogo nimeokoka siku hizi siingii huko
Asante mkuuKaribu
Hapana shemejiAmekupeleka nini
Tabia ipi hiyo tenawewe ndio
naomba unitajie ID yako mpyaHali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
[emoji120] [emoji120]Ameeen Kivuruge
Usiende kule watakubaka bwanaHapana shemeji
1.5k ipo jirani yaja.Hahaha
Na type mpaka bando limechacha