MmmmhDada nitafutie mahondaw popote alipo
Tigo wafanye nini?we ndio bamdogo nitakuombea vyote mpaka tigo pia waendelee kukujaza
japan unaenda lini ili tukusindikize na sakayo
huwa siongei uongi makanisa ya kilokole nimeingia kwa mwamposa tu tena naenda siku za maombiUtamuweza hapo kanidanganya tu imebidi nimkubalie yaishe
KaribuReally jina la sakayo limenivutia tubadilishane bac
[emoji3][emoji3]Haleluyaa
AsanteHaya
OoohMengine tuwe tunamezea bwana...
Nitakamatwa wewe.
huwa siongei uongi makanisa ya kilokole nimeingia kwa mwamposa tu tena naenda siku za maombi
Karibu
Yote maishaUKIJITOA NA MIMI NAJITOA PIA.
Mbona mguno wa kimalawi sakayoMmmmh
HaleluyaaNitakuombea
Yaani ungekuwa wewe sio mwanangu ningekuwowaga husemagi uwongo.huwa siongei uongi makanisa ya kilokole nimeingia kwa mwamposa tu tena naenda siku za maombi
Nipo sawa au unataka niwe sawaSio kihivyo
Babu alikuwa hawezi kuitoa jamani..Shemeji usitake kuniambia unaolewa na bikra yako?
Babu mlikuwa mnakiss tu eeeh
Swali gani hilo sasa
Umechangamka kweeliWanasema Bampa to Bampa.
Tayari.
KabisaaKaka mtafute tu mwenyewe mke wa mtu yule
Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Acha uchochezi wewe