Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
We haya tuuHata ku snitch bado. Nimestua tu nione mzee wa cc kama yuko active.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We haya tuuHata ku snitch bado. Nimestua tu nione mzee wa cc kama yuko active.
Na mimi nikamwita smart amsindikize kupokea hiyo zawadi.Aaah mimi sijamwita kwa mabaya maana nina zawadi yake
Samahani, kwani wewe ni nabiiNdo napashapasha mizuka hapa we endelea kusema ili niiamshe kisawa sawa
[emoji2] aniulize mieNamshangaa
Nataka redbull mie
Wewe tehna.Na utajazwa kweeeli, we leta utani tuu... Hayo mahela ukijazwa unikumbuke na mie redbull
Una passport shogaawe ndio bamdogo nitakuombea vyote mpaka tigo pia waendelee kukujaza
japan unaenda lini ili tukusindikize na sakayo
mie niolewe mara ngapi bamdogo nishaolewa na lee[emoji23][emoji23][emoji23]
Walai nyie siwawezi bora muwolewe tu . Hahaha dude la nani?
Sio ya raha leoTigo wafanye nini?
Nimekukatia tiketi ya kilimanjaro uje kesho
haleluyaAaamen
Mie nakuamini mwayahuwa siongei uongi makanisa ya kilokole nimeingia kwa mwamposa tu tena naenda siku za maombi
Hahaha[emoji3][emoji3]
Nimeona anataka kusemelea nimeona nimwahi kabla hajafisha ujumbeYamekuwa hayooo tena
huo ni zaidi ya usnitchUmeonaee
Poa PoaAsante
mfate pm kwake kama una shida naeAaah mimi sijamwita kwa mabaya maana nina zawadi yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Niitie SecuritySamahani, kwani wewe ni nabii
Hata mie SielewiMbona mguno wa kimalawi sakayo
[emoji2] [emoji2]Na utajazwa kweeeli, we leta utani tuu... Hayo mahela ukijazwa unikumbuke na mie redbull
HahahaYaani ungekuwa wewe sio mwanangu ningekuwowaga husemagi uwongo.