Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #21
Hili jukwaa la chit chatMmh, mbona ipo jukwaa la utani!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jukwaa la chit chatMmh, mbona ipo jukwaa la utani!!!!!
Pole dear,jf wacheshi wengi Masha Allah,I enjoyed alot hamdilah ,furaha itabakia palepale hakitobadilika kituHee jana sky kaaga leo wewe jamani. Mbona hivyo!!??
Sorry,Ila ni vizuri zaidi kuaga kwa jinsi tulivozoeana na baadhi ya watu na si vyema kuondoka kimyakimyaMuwe mnang'tuka kimya kimya sio mpaka taarifa acheni utoto,mnataka muone tunajisikiaje mnao tuacha nyuma??
Sorry,will miss u ol thoMwengine huyu analeft the group daah.
Thank uSo it seems that ur "in-between"
haya bana, kwaheri ya kuonana JF.
Acha zakoo,mbona sjaona kitu [emoji23]Jana nmekuja umenichunia
Insha AllahTangulia, na sisi tunakuja.
Sema umenitosa kijanja tu sio kuwa hujaonaAcha zakoo,mbona sjaona kitu [emoji23]
[emoji23]usiwape watu faida hapa,pm yang iko nyeupeee,Sina bahat mm jf [emoji3]hata wewe jamaniSema umenitosa kijanja tu sio kuwa hujaona
Am sorry Sina mume.Mme wako hatak issue za mitandao?
Angalia vzr km jana haijaingia yangu....tatizo msg nyingiii[emoji23]usiwape watu faida hapa,pm yang iko nyeupeee,Sina bahat mm jf [emoji3]hata wewe jamani
OK..doh ckujua bibieAm sorry Sina mume.
Natamani ungekuwa umeweka baadhi ya sababu zinazokufanya ujitoe ili mods wachukue kama changamato za kufanyia kazi kama wanaweza kufanya hayoNop ,najitoa mojakwamoja
[emoji125]naendaaa kutizamaaAngalia vzr km jana haijaingia yangu....tatizo msg nyingiii
Inamaana siku zote izo Niko jf ulikua unanichukuliaje Kwan,[emoji28][emoji2]OK..doh ckujua bibie
Sasa hayo mapishi ya Ramadhani utafubdishia wapi we mama! Hapa ndio pa kukazia kazia saumu wangu muda ukiyoyomaHali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]