Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #241
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahhh nlisahauuuSi ulisema umealikwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahhh nlisahauuuSi ulisema umealikwa
sawa dadaHahaha
Poa jioni nitakuja kuichukua... Msalimie saaana
HahahaHata kama Mimi ni Mfupi kama Zakayo lakini nitakuwa juu ya mti kupepesa macho kumtafuta huyo Sakayo popote alipo na kumlejesha tena hapa Jamvini.
Haya bwana kwaheri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahhh nlisahauuu
Hahaha[emoji15] [emoji15] mbona mcheza kwaito mpaka sasa sijaambiwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha
Utaambiwa tu bhana... Kwaito utacheza mpaka uteguke kiuno
Nmekutisha nnUnatuacha
Hahaha[emoji23]nimecheka sana
😎😎Hahaha
Naona umetumia tafsida... Poaa tuu ukimpata we mlete tuu...
Zakayo... Sakayo
Arabian queenWe jina lako ningependa kunifaham,
Shukran sana mkuu BAKUlivyosema unataka kujitoa humu si kudhani kama ni mapema hivi. Bila shaka umetafakari kwa kina na kuamua kujitoa ili ukabiliane vizuri na majukumu yako. Wengi humu tulishaanza kukuzoea kwa michango yako mizuri iliyoenda shule na yenye hekima na busara. Nakutakia kila la heri na baraka kwenye majukumu yako.
Ndo ujue ivo haleft mtu hapa[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Unakosea bhanaNmekutisha nn
Hahaha soon sakayo nae atawakimbia,!mmbaada ya kesho ntakua makumbushoo humuNdo ujue ivo haleft mtu hapa
Nini mbaya tena
Mie nshaleft bhanaHahaha soon sakayo nae atawakimbia,!mmbaada ya kesho ntakua makumbushoo humu
[emoji23][emoji23]umeleft jinaMie nshaleft bhana