Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Nimeshtuka jana basi mie nimeamua kukesha maombi najua hutaweza[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]maombi ili nisimuibe.
Nilianza kummendea kitambo,we muulize atakwambia[emoji1]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji108] [emoji12] [emoji12] [emoji12] huna sababu ya kutaman atakuja menyewe
[emoji23][emoji23][emoji23]yani nkirud bongo niwe nimejipanga hasa la sivo na Mimi ntakua miongon mwa wanaolalamika anko magu hahahaha
 
Sasa hata zile mambo za kutunza mwili mfano uso kwa njia za asili ndo kwanza sijakopi. Unadai unaondoka, aaah... Vitu natural ndo basi tena au? Kuwa na huruma basi!
 
Back
Top Bottom