Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Natamani nipate access ya member wa jf zaidi ya 2k ndani ya dakika 10 ubaki hata kwa kufoji.[emoji23][emoji1]najua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani nipate access ya member wa jf zaidi ya 2k ndani ya dakika 10 ubaki hata kwa kufoji.[emoji23][emoji1]najua sana
Sa si mpaka niunde tumeeHahaha bestie yani mpk nibaki zitimie izo 2k[emoji23][emoji23]la sivo kesho sipo
Mie basi bora nianze tuuNipambane nini sasa wakati kila kitu kipo tayari.
Ngoja mfungo ukwishe ningize jiko ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmewapenda bure kwakweli,Taratibu tutafika tu. Hata tubaki wawili.
Na bado hatujaila hata robo...Babu mie sio wa kukuua wewe jamani...
Si unajua pension tulikula wote
[emoji85][emoji3]Wacha weee
Haiwezekani tubaki wawili bhanaTaratibu tutafika tu. Hata tubaki wawili.
Tuta type hata kwa macho leo.Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sakayo weweeee[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzako kama kachoka kutyp je[emoji23]
Eti pambana[emoji23][emoji23][emoji23]
ahaaa m nakula tu mungu yupo maana ilo nalo janga yakikuta ahaaaBasi Sawa
Kama nyau hutomjua we ni changamoto, kula tu
Yule ndo L anamalizia mahariNaye anawolewa lini maana kila siku ananidanganya.
[emoji3][emoji23][emoji23]wallah nacheka[emoji23][emoji23][emoji23]ningekununulia redbull lkn Niko mbali sasaHahaha
Poa Poa tajiri
Hahaha
[emoji23]Masha Allah wewe na sakayo mnajituma[emoji23][emoji85]kwann skuwajua tangu mwanzo.ikitimia 2k nabakiNatamani nipate access ya member wa jf zaidi ya 2k ndani ya dakika 10 ubaki hata kwa kufoji.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sa si mpaka niunde tumee
Anachokaje kwa mfano..Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sakayo weweeee[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzako kama kachoka kutyp je[emoji23]
Eti pambana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuta type hata kwa macho leo.
Katafute bhasi, tutawapa soda jumamosiNatamani nipate access ya member wa jf zaidi ya 2k ndani ya dakika 10 ubaki hata kwa kufoji.
Punguza masharti basi. 1.2k angalau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmewapenda bure kwakweli,
Nacheka mpk nalia ,si kwa kucheka huku[emoji23][emoji23][emoji23]