Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
SawaKesharudi sasa [emoji2] [emoji2]
Mwambie awe anaenda na mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaKesharudi sasa [emoji2] [emoji2]
Wewe mr . YUTONG ndio unamtaka mke wangu?
Na nani?Nimependwa bhana ila si wajua ni kawaida tuu
HapanaEeeh! Naona watu wanataka Ban za lazima...
Wanaweza vita na mimi lakini?
Am so sorry please hubbyNaenda kununua petroli sasa hivi ujue..
My wii Arabian qeenNa nani?
Noooo..!Am so sorry please hubby
AiseeeeNoooo..!
I want to know who was doing this for me..
AfadhaliThats one
Kaka yake ndio yupi
Nataka nimjue tuu.! Kesi iishie hakuna ugomvi baby wangu..Afadhali
Amtafutie tu Kakake mtu mwingine
Wapo mbona
Hata mie simjuiNataka nimjue tuu.! Kesi iishie hakuna ugomvi baby wangu..
"wapo mbona"......ngoja nijiongeze, ahsante SakayoWapo mbona
Poa Poa"wapo mbona"......ngoja nijiongeze, ahsante Sakayo
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Insha Allah my ntafanya hivoUmefanya jema sababu hapa ni tulizo la kila kitu. Hizo pm usipozijibu si watachoka. Badili avatar weka mbaya ili wasikufate au acha neutral huna haja ya kuweka chochote ila hilo jina mhu najua shiiida. Watu wanavutiwa na mambo mengi, ID, avatar, na contribution zako hivyo kama contribution zako ni nzuri usilalamike ila kama ni hizo mbili badili picha na jina ila ubaki.
Ntakutag Mara ngapi[emoji38]In Shaa Allah tukutane baadae ukirudi usiache kunitag