mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 308
wakuu habari,napenda kufahamu jinsi nitakavyoweza kuwapata hawa jamaa wanaozuia na kupambana na rushwa hapa tz (TAKUKURU) pale nitakapoombwa rushwa maana nimechoka saaana kuombwa rushwa kila mara katika maeneo mbali mbali.
ningependa sana kutoa msaada wa kusafisha taasisi na idara za umma zenye watendaji wala rushwa kwani mimi ni mmojawapo wa wahanga wakubwa saana wa hawa jamaa.Kwa anayeelewa jinsi ya kuwapata tafadhali naomba kufahamishwa.natanguliza shukrani
Iba au Kula Rushwa Kisha UTAWAPATA Kiurahisi Mno Na Sana TENA Bila Hata Ya Wewe KUWAITA.
nashukuru mkuu,lakini nilikuwa napenda kujua kuwa iwapo inatokea naombwa rushwa katika huduma fulani ambayo inatakiwa hiyo huduma itolewe wakati huo huo na rushwa inatolewa kwanza ili nipewe hiyo huduma,hawa jamaa wa TAKUKURU nitawapataje hapo mkuu?Kila wilaya na mkoa una ofisi zao,
upo wapi wewe?
Pia kuna namba yao ya bure niimeisahau kidogo,
ila nirekebishwe nadhani ni 113
mkuu unapenda mzaha saana wewe? JF ni shule kwetu ambao tuliogopa umande ama tuliochelewa kutambua mambo mkuu,hivyo mizaha yako haitusaidii kabisa kama ilivyo dhumuni la JF.
Lipi Ni Dhumuni La JF? Na ktk Woooooote Humu Uliyemuona Ni GENTAMYCINE Tu? Kwa Kukusaidia Tu Hebu Jaribu Kupitia Threads Zangu Zooooooooooote Kwa Umakini Halafu Niambie Kama Zote Huwa Ni Za MZAHA! Najua Nafanya Nini Na UKOME KUNIFUNDISHA NINI CHA KUFANYA na KUANDIKA. Nanukuu Kauli Ya Mzee Wangu MLEZI Rais M7 Kwamba " I Pay You According To Your Price " Na Pia Nanukuu Kauli Ya Mentor Na Role Model Wangu Rais PK Kwamba " I Don't Deal With ------ ( POPOMA ) ". NIMEMALIZA!