mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 308
wakuu habari,napenda kufahamu jinsi nitakavyoweza kuwapata hawa jamaa wanaozuia na kupambana na rushwa hapa tz (TAKUKURU) pale nitakapoombwa rushwa maana nimechoka saaana kuombwa rushwa kila mara katika maeneo mbali mbali.
ningependa sana kutoa msaada wa kusafisha taasisi na idara za umma zenye watendaji wala rushwa kwani mimi ni mmojawapo wa wahanga wakubwa saana wa hawa jamaa.Kwa anayeelewa jinsi ya kuwapata tafadhali naomba kufahamishwa.natanguliza shukrani