Nitawashaje kifaa cha 250v bila umeme wa TANESCO?

sijui nimekosea kusoma au lah inshort ni fridge ndogo
 
Fridge "ndogo" ni ngumu sana kuijua kwa kuwa kila mtu anamtazamo tofauti juu ya ukubwa wa kitu.
Kwa vifaa vya umeme ukubwa au udogo wa kitu tunautambua kwa Power Rating ya kifaa husika, angalia fridge yako ina Watts ngapi?

Ukishajua ndipo uliza hapa utapewa jibu sahihi.
 
Je kifaa cha 41kw lazima uwe na transformer ndogo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…