Uchaguzi 2020 Nitawashangaa sana wafuatao wakipigia kura CCM

Uchaguzi 2020 Nitawashangaa sana wafuatao wakipigia kura CCM

Wewe km umefukuzwa kazi kwa vyeti vya kugushi pole

Kazi sio lazima ofisini tu, kufuga hakuitaji cheti
Shika adabu yako wewe msukule mm sina vyeti feki. Kama kweli huyo juha wenu anachukia vyeti feki mbona alimwacha BASHITE ofisini mpaka akakataliwa kigamboni?
Mbona hajaenda jeshini na polisi?
Mm nimesoma vizuri najitambua ndo mana najua kwamba
MAGUFULI alipora KOROSHO
Aliuza na kuteka waliompinga
Ameshindwa kuongeza mishahara coz pesa hana
Najua mengi mana nina akili guru. Mm siyo msukule kama wewe mzee
 
Ulevi wako sasa sio wa bia yetu, nadhani ni mataputapu kwa sasa
Hana akili huyu? Ati ukihoji unasema umefukuzwa kazi kwa vyeti feki? Usikute lenyewe ndo lina vyeti feki lipo hapo lumumba.
 
Mimi mtumishi wa umma mwenye akili timamu nitampa kura yangu rais anayejali wanyonge na mzalendo wa nchi yetu Dr John Pombe Joseph Magufuli.
 
Naunga mkono hoja. Ifikie wakati hiki kikundi kinachojiita ccm, kiwekwe kando ili kipate wasaa mzuri wa kujitafakari. Kwa sasa kimejichokea na kinaiendesha hii nchi kijanja janja tu kupitia porojo na propaganda zilizopitwa na wakati.

Haiwezekani kampeni za mwaka huu ziwategemee wasanii tu ili kuwavutia wasikilizaji. Mgombea wao hana jipya, kila siku stori zake ni zile zile! Elimu bure, sijui kuongeza ndege!!

Cha kufurahisha zaidi, tangu nianze kuzifuatilia hotuba zake, sikumbuki kama kuna siku aliwahi kuwaongelea watumishi wa umma na wale wahitimu wa vyuo anao wasotesha mtaani bila ajira kwa miaka yote hii mitano.

Kuondoa CCM madarakani ni “MDOTO ZA MCHANA” (DAYDREAMING)!! Kama walishindwa 2015 wasiwe na mategemeo mpaka baada ya miaka 90 yaani vizazi vitatu(three generations)! Amini usiamini 95% ya wabunge watatoka CCM 28/10/2020!!! 2015 CCM ilikuwa ICU ila kwa sasa kipo juuuuuu!
 
Back
Top Bottom