Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Sio songesha ni mgodi mkuu.Na ww unakopaga mgodi na kukaa kote ubunge πππ...
Ukikatwa na wajumbee ww c utakuwa unakopa mpk songeshaa mkuuπππ
Una njaa sana mkuu?ππππ Njaa ni mbaya
Kiukwel hlo wameshindwa kulidhibiti ,Kwa siku voda wanaweza kukutumiaa sms mpk kumi ,mara cjui bonyeza Moja kujiunga huduma hii,ukiaka Tena Kuna namba 1501 inakutumia sms jiunge na flop cjui,yaan vuruguKama sehemu ya SMS, ndo wamefanya uwanja wao wa matangazo.
Mtu unaweza ukazani ni text ya maana imeingia kumbe TatuMzuka, na Scammer wengine.
Apo unajiuliza serikali inakazi gani, au ndo wanalinda share zao
Njaa ni kubwa sana mtaani huku, nishike Mkono nitoke kweny njaaUna njaa sana mkuu?