Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka zako Rutashubanyuma ninyi mnajua kutusema sisi tu. Ninyi hapana eeh......
gfsonwin....msaidie kutafuta majibu maana naona kaingia mitini...................good queston Rutashubanyuma................
Natamani mngejua maana ya hili neno kwa jinsi linavyotumika pale Kasita Seminary, walahi saa hizi tungekuwa tunaongelea 'ban tena ya muda mrefu tu!
viungo vya mwili vinakuwa havina ushirikiano na uwiano ndo tofauti hiyo.
bora umesema madame LD, make wamezidi. kunya anye kuku akinya bata kaharisha mwe!