nitaweza ku apply kupitia tcu?

nitaweza ku apply kupitia tcu?

Nyakawaga

Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
70
Reaction score
13
wadau natarajia kumaliza diploma ya procurement mwakani ila nahitaji kuendelea na bachelor je inawezekana au mpaka mwaka mmoja upite?
 
Inawezekana kaka! Subiri mwakani ujisajili online kupitia TCU.
 
Back
Top Bottom