nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 288
- 230
Pesa nyingi sana hiyo kama unajipanga nayo. . . . .weka target zako huku ukitafuta kiwanja taratibu ili ujue bei ukishapata kiwanja then unaanza taratibu. . . .Laki sita ina maana ukinunua tofali kwa 1100/= unatofali 540 za inch tano sasa unakuwa unawekeza pesa kwa mfyatuaji zikifika za kutosha nyumba yako unapeleka site then unaandaa material kama kokoto lori moja na mchanga kama tripu tano hivi huku unashughulikia ramani na kibali cha ujenzi ukivipata waweza vuta pumzi ya cement na ujira wa fundi. . . .Nina uwezo wa kusave 600.000 kila mwezi nko mkoani Arusha bdo sina kiwanja ni mfanyabiashara mdogo je ntaweza kujenga ka self contain na kununua kiwanja kwa hyo saving au najidanganya??
Usikate tamaa katika maisha weka malengo yako tu utafanikiwa.
Hiyo laki Sita unayosave ni bora uongeze msingi wako na kutanua mtaji na kupata super profits...usizike hela kijana.