M Muteyan Senior Member Joined Jul 8, 2013 Posts 131 Reaction score 40 Nov 7, 2013 #1 Habari wapendwa na poleni na majukumu ya kila siku. Naombeni kuuliza kwa ambao tayari wamesoma CPA na wamepata tayari na wanaujua muziki wake. Swali langu ni: Je naweza nikasoma cpa module E na F bila ku-attend review classes? Natanguliza shukran.
Habari wapendwa na poleni na majukumu ya kila siku. Naombeni kuuliza kwa ambao tayari wamesoma CPA na wamepata tayari na wanaujua muziki wake. Swali langu ni: Je naweza nikasoma cpa module E na F bila ku-attend review classes? Natanguliza shukran.