Nitaweza kupata mtaani.

Nitaweza kupata mtaani.

Muteyan

Senior Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
131
Reaction score
40
Habari wapendwa na poleni na majukumu ya kila siku. Naombeni kuuliza kwa ambao tayari wamesoma CPA na wamepata tayari na wanaujua muziki wake. Swali langu ni: Je naweza nikasoma cpa module E na F bila ku-attend review classes? Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom