Nitawezaje kijiendeleza kwenye maswala ya accounts or finance?

Hollyreath

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
126
Reaction score
12
Habari ndugu zangu,

Mi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009. Nilikuwa nachukua masomo ya biashara. Matokeo yangu hayakuwa mazuri nilipata division 4.27 nilishindwa kuendelea na chuo kwaajili ya tatizo la kiuchumi.

Hivyo niliamua kujishikiza kwenye vibarua vya hapa na pale ili nipate pesa ya chuo, sasa nimepata pesa kiasi ambazo nahitaji kurudi darasani. Napenda kusomea mambo ya accounts or finance.

Naomba mnishauri nianzeje na nianzie wapi chuo kipi kizuri ni apply. Nataka nisome huku naendelea na kibarua changu.

NB:
naomba ushauri na mawazo ya kujenga matusi na kejeli sihitaji.

Natanguliza shukrani zangu.
 
IFM is the best lakini hawana part time.

Cheki na TIA, ila tatizo moja ya hiki chuo kila mwanafunzi aliyegraduate ana upper second au first.

Sijawahi kukutana na wenye Pass.
 
Ungekua unajielewa ungesomea ualimu grade A.
 
Hollyreath,

Fanya uamuzi ambao utalingana na uwezo wako wa kifedha na muda pia, kwa elimu yako unaweza kuanza cheti cha uhasibu kwa dsm hapa ukaenda IFM, TIA au chuo ambacho watu wengi wanakimbilia hapo ambapo ni CBE, lakini ujue huko ni gharama pia.

Lakini unaweza kwenda na kujiandikisha na NBAA, hapo unaanzia Atec I, ambapo ukifaulu unaingia zako ATec II, unaendelea kusoma, kwangu mimi kuingia NBAA ni kuzuri zaidi.
 
Last edited by a moderator:

bodi sio pazuri kwake kwa kuanzia. Hizi atec wanafundishia kujibu mitihani. Akienda chuo, coz hakuna pressure kubwa ya mitihani kama ilivyo kwa bodi, atakuwa na mda wa kutosha kujifunza kwa kuelewa sio kwa kucremu. Akimaliza diploma kama atakuwa ameiva vizuri ndo aingie bodi

la kuongeza, hizi twisheni za bodi walimu hamna wa kuaminika. Wengi wanakimbizana na pesa.
 
Last edited by a moderator:
Ungekua unajielewa usingemshauri hivyo coz siku hizi ualimu hawachukui chini ya div 3....
Hata hivyo kuanzia mwaka 2014 cheti cha ualimu kimefutwa, wanaanza na stashahada tu. Aende CBE cheti, ahakikishe ana-perform vizuri ili aingie stashahada ambayo akifanya vizuri pia aingie BCOM, halafu Masters na amalizie na PhD katika miaka 10 tu.
 
Ungekua unajielewa usingemshauri hivyo coz siku hizi ualimu hawachukui chini ya div 3....

bado unajipendekezaga kwangu tu?utapenda na majini humu jf p.i.m.b.i wewe.
 
bado unajipendekezaga kwangu tu?utapenda na majini humu jf p.i.m.b.i wewe.


Sasa nimejipendekeza vipi hapo?

Au hujui maana ya public forum? Nijipendekeze kwako kwa lipi? Kwa huu ubutu wako Wa akili?
Kwa huo msura wako mbaya au?

Jiheshimu binti siwezi mpenda mtumiaji Wa anonymous ID kima wewe!!
 

Uzuri Kwa kuwa anafanya kazi hiyo huko ndio kutamsaidia zaidi....
 
ushauri wangu tafuta chuo chochote kinachotoa certificate either MOCU. TIA. CBE. AIA. N.K kutoboa degree 6years na masomo yenyewe ni full time hamna evening session. CHA MSINGI JOIN NBAA ANZA NA ATEC 1. ATEC 2. FOUNDATION. INTERMEDIATE THEN FINAL. CHUKUA CPA TULIA! ILA APO BODI KAMA UTAKUWA FRESH NI MIAKA 2 NA MIEZI 5 UTAKUWA UMECLEAR. UNDER ASSUMPTION YAKUWA UTASITT FIRST SITTING KTK EACH STAGE. APO NDO UTAPATA RELIEF YA KUENDELEA NA KIBARUA CHAKO. THANK YOU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…