Hollyreath
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 126
- 12
Habari ndugu zangu,
Mi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009. Nilikuwa nachukua masomo ya biashara. Matokeo yangu hayakuwa mazuri nilipata division 4.27 nilishindwa kuendelea na chuo kwaajili ya tatizo la kiuchumi.
Hivyo niliamua kujishikiza kwenye vibarua vya hapa na pale ili nipate pesa ya chuo, sasa nimepata pesa kiasi ambazo nahitaji kurudi darasani. Napenda kusomea mambo ya accounts or finance.
Naomba mnishauri nianzeje na nianzie wapi chuo kipi kizuri ni apply. Nataka nisome huku naendelea na kibarua changu.
NB: naomba ushauri na mawazo ya kujenga matusi na kejeli sihitaji.
Natanguliza shukrani zangu.