Dear friends
Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali
Mch Masa K
Hiyo ni kazi ndogo. Kama una simu ya Nokia yenye option ya Internet fungu kitu kinaitwa Ovi halafu dowload Block listi. Hiyo program ikishaingia kwenye simu yako,utaweza kufanya chochote utakavyo ktk simu yako.
Shida ya hii inablock all incoming calls: unapiga * # 33# hii inactivate barring all incoming calls....
Akipiga we [pokea hiyo simu halafu iweke pembeni azungumze na hewa mpaka achoke.Nimejitahidi kumpoteza kwa kila mbinu imeshindikana ndugu yangu, anamalizia hasira na nuisance calls.
hahahaaaaaaaaaa... hiii ni kiboko, nimecheka sana leo
nimemwambia pia ajaribu tu kumface na kusuluhisha aisee, demu kakamata mpini.. LOL
Ni true story, kuna jamaa yangu alifanya hivyo, kumbe yule demu alikua anapiga picha kwa siri (kwenye simu) walimaliza kuchapana na anasave kwenye simu. siku walipoachana demu akarusha zile picha kwenye mitandao hadi ya ofisini kwa jamaa
Jamaa alibidi ahame nchi
Masa, hebu settle na huyo mdada wa watu, au mrudie kifambafamba... na kuwa unampa dozi mbovu, unavunga umelewa hufai, kila kitu unafanya kinyume, hata mudanganya kwamba kazi umefukuzwa..unaomba pesa ya nauli na ya kula, hadi atakuacha[/QUOT
hapo kwenye red kaka inategemea na huyo mdada alimpendea nini kuna wengine wana true love hawaangali kama una pesa au nini yeye akikupenda emependa inaweza ikawa dada anafurahia kampani ya jamaa hata kama yeye ndo atakuwa analipa bill inachukua muda mrefu sana kumsahau mtu uliyempenda kwa dhati maoni yangu kubadili simu hakusaidii kitu aongee na huyo dada mi sijui mapenzi yao yalikuwaje na alimuacha kwa sababu zipi
yaweza dada alikuwa serious kumbe mchungaji alikuwa chovya ni ngumu sana kwa huyu dada najaribu kufikiria maumivu anayopata mpaka anaishia kutukana hajapata watu wakumpa mawazo na kumtuliza mi sijui kwanini tunapenda kucheza na feelings za watu halafu mnakuja humu kuomba ushauri wa kublock simu leo amekuwa msumbufu sababu mapenzi yamekwisha hebu jaribu kuvaa viatu vya huyo dada we bado upo kwenye mapenzi mazito halafu akakubwaga ndio yuko bize na jamaa mpya
Khaaaa!
Mkuu unapambana na Stalker sasa?,...
Unaweza kubadilisha namba, au simu zake zote unazi divert kwenye answering machine.
Mimi iliponitokea mkasa kama huo nilikuwa napokea kisha naweka simu pembeni,...namsikia anabweka weeeeeeeeee....halafu anakata.
Sana sana ni yeye analiwa calling credits zake hata kama ana 1000minutes monthly allowance.
Atachoka tu.
Usijifanye unataka hutaki, yaani siku unapokea na kujibishana nae..., ataendelea kupata mixed messages.
Saa nyingine kwenye situations kama hizi ni bora kujivisha helmet na ear muffs kisha kujifanya kiziwi.
29 missed calls si mchezo, Pole sana, ....
Hoja yangu sio kukufundisha kublick hio simu bali naomba ujibu maswali yafuatayo
1. Kwa nini umeweka post hii ya kublock simu huku kwenye forum ya mahusiano na mapenzi (Hii inamaanisha nini)
2. Je huyo anaekupigia anatafuta nini kwako? ANakudai (then mlipe umalize tatizo) Anakutaka kimapenzi (then mwambie ukweli au mpe anachokitaka baba...!)
3. Ni bóra uwe muwazi kwa huyo anekupigia hizo simu ili uondokane na hio kero, kublock number au kubadilisha namba itatatua tatizo kwa muda mfupi tu...!
Pokea unakaa kimya, i hope u are the one who entertain her, if u have a little bitter words to her she will gradually stop, kama ww unampa sweet honey words ndio u r accelereting her, pokea cm kaa kimya, no reply, no sms, no call. no u, no her, no what, no when, no..... period this is only possible if ur serious Rev.
Mchungaji Masa kwani ukimwambia tu unaboreka na simu na beeping zake hawezi kuacha hayo matabia ?
hebu jaribu kumpigia na kumwambia ukweli
Pole mkuu ....download kitu inaitwa iblacklist au mcleaner kwa kutumia cydia kwenye iphone yako..then number yake unaiblacklist hatakaa akupate kamwe...Kwa maelezo zaidi ni PM kama ukikwama..it does very well in my iphone 4..pole sana mpwa
Rev.Masa... Ili kuepukana na matatizo kama hayo mbeleni kuna options mbali*2 mfano;
1. Uwe unamiliki simu mbili,moja kwa ajili ya vimeo tu... Ambayo waweza kuizima hata kwa wiki mbili hadi mwezi mmoja...
2. Endapo mdada yeyote anakusumbua akipiga mpatie mdada mwingine apokee simu... Dawa ya MOTO ni MOTO...
3. Tembelea site hii Software for Nokia N97 / E71 / E75 / E72 / E63 / N96 / N85 / N95 / 6220 / 5230 / 6110 / X6 / 5800 Xpress Music / Samsung OMNIA HD/ Sony Ericsson Satio / MOTORIZR Z8 kwa option mbali mbali mfano;kama upo Guest ukapigiwa simu waweza uka-bofya option kama vile upo K'koo,Barabarani,Ofisini,baa nk... Ukablock cmu,etc...