Nashukuru my dia! ushauri wa Mbu unafanyiwa kazi kwa nguvu zote. Leo umependeza sana nimependa rangi za kwenye vidole vyako hasa unakuwa unatype. Invisible arudishe haraka chat room.
Hiki kimeo ninacho kwa kweli sijui anasoma JF naye hadi sasa ameisha miss call kama 8. Anakera na kuboa
Hapo kwenye red ndicho kinachokuponza Mchungaji, kesho Nyamayao akianza kupiga simu utasemaje?
mkostishe huyo, pokea weka kando endelea na job, abwabwaje weee, hata kama 30 mins...atachoka tu...kuna watu wana shughuli c kitoto....hahaaa leo nimevaa zile nguo shem wako anazozipenda, ukweli nitakuwa nimependeza...lol...Asprin acckie akoc kunirushia madongo, mie na yeye haziivi kabisa...lol
Nishawahi kupata missed calls 100+ kwa usiku mmoja....uzuri nilishashtuka mapema nikawa nimem-block...
Nilivyoona haelewi somo, nilimwondoa kwa reject list...nikaondoa milio....akipiga napokea na kuiacha....
otee kabisa....huyu hakulala alikesha....ahhahaha leo mtasema yote!
otee kabisa....huyu hakulala alikesha....ahhahaha leo mtasema yote!
mkostishe huyo, pokea weka kando endelea na job, abwabwaje weee, hata kama 30 mins...atachoka tu...kuna watu wana shughuli c kitoto....hahaaa leo nimevaa zile nguo shem wako anazozipenda, ukweli nitakuwa nimependeza...lol...Asprin acckie akoc kunirushia madongo, mie na yeye haziivi kabisa...lol
Jamani ningependa nibadili ofisi walau niwe na kuona ! Huenda hata huyu msumbufu ingesaidia kumpoteza. Asprin anamatatizo ya kiroho ninaanza kumsalia novena ya damu takatifu.
Alimua kunikomoa kwa my dear wife.........kila akipiga inakata (nadhani aliamini mi ndo nakata).....she kept on......asubuhi nikakuta kitu zaidi ya mia.....
BTW: Leo ukoje kihisia......
Hahahahaahah anadai anaogopa TANESCO na nyaya zao kwa Kakobe!
nipo poa sana my luv, yaani gado hofu kwako tu!...luv umenikumbusha cku moja nadhani nayo ilikuwa kama hii yako, mie nilikomalia fone kabisa......
Nijuavyo mimi hakuna jinsi ya kumzuia mtu asikupigie simu. Hata hata kama ukiiblock hiyo namba, huyo mtu anaweza kukupigia kupitia simu nyingine na kufanya zoezi zima la kublock kuwa meaningless. Cha muhimu ni kupuuza tu simu zake hadi achoke mwenyewe. Option nyingine ni kubadili tu namba yako ya simu.
hahaaa nyamao upo watasema kweli umewashtukia eeh
Good!
Ila hiyo ishu yako ilikua simu yako au ya mzee nanihii......:hail:.....
Halafu hiyo addiction yako ya ku-sms/chat....ila fone ingekua 4ne..lol
haaaa...yaani mpaka jina la binti yangu nalichakachua...hahaha! mbaya sana....nilikomalia ya kwake mpaka kikaeleweka.
Dear friends
Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali
Mch Masa K