Hivi Firstlady amelog in kweli?......dreva tax lazima atakuwa respoensible kwa hili
lawalawa ingeendelea kuwa tamu mbona hata asingeomba ushauri unafikir ungemuona humu angekuwa kule kwenye siasa kama ni kiduku lazima mchungaji kashapata matege
hahahahaha!
tax draiva alimuauthoraiz babu kufanya 'mchakato'
hahahaha!Hahahahahaaaaaaaaaaaaa!
Familia ya babu yote leo imeingia mitini......Ila Roya na Rose kutokuwepo jamvini mida hii ni coincidence au?
hahahahahahahahah!
yupo kwenye kosta la moro
Hivi Firstlady amelog in kweli?......dreva tax lazima atakuwa respoensible kwa hili
Hahhahaha.......itatuchukua muda sana kuja kuelewa siri ya babu kuwahi kurudi jana
:bump::bump::bump:hahahahaha!
tax draiva alimuauthoraiz babu kufanya 'mchakato'
Ni kweli mimi ninayo na nimeblock watu kibao pamoja na sms za promotion zinazonosumbua kila wakati.Nasikia zile simu original za samsung line 2 za mkorea unaweza kublock mpaka msg, lakini sina uhakika sana sijawahi itumia labda jaribu kuulizia wenye nazo watakufahamisha, kisha utaweka line yako humo km itafanikiwa.
hahaha!Duh...huyu spika sasa anaharibu chama...ni mbinafsi na amekigawa sana chama
hahahaha!
WE CAN PUT OUR BLAMES ALL ON BABUUUUUUUUUZ
habbarr yako babuuuuz banaaaaaa!..........Hahahahahaaaaaaaa
Haya bwana Mkombozi wa ndoa!
Duh...huyu spika sasa anaharibu chama...ni mbinafsi na amekigawa sana chama
habbarr yako babuuuuz banaaaaaa!..........
hahahaha!lugalo kunani tena ?Hebu angalia hii ruti:
Tegeta-Lugalo-Tegeta-Sinza-Tegeta..............with LOVE.
Kama ni taxi ingekuwa shingapi?
Sahihisho kidogo:
Anayekigawa chama ni bepari Roya.:A S-alert1::A S-alert1::A S-alert1:
spika umekuwa kama mzee mstaafu wa Zanzibar a.k.a 'hapa pangu'
Fidel80 nisaidie! Ile ilikuwa ni lugha ya kibiashara zaidi.
Mimi nakushangaa, mbona sku za mwanzo hukuwa hvyo? Ulikuwa mwanaume handsam, mpole, mtulivu na mwenye mapenz ya kweli...
Kinachoniuma mimi, ulipontongoza ulisema utanioa. Sasa ndoa iko wap? MImi sikuelew, stak kamwe kuona unanidump...thubutu.