Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Hahahahahaaaaaaaaaaaaa!

Familia ya babu yote leo imeingia mitini......Ila Roya na Rose kutokuwepo jamvini mida hii ni coincidence au?

Watching............
 

ha ha,

mkuu ni wachache wenye uwezo wa ku reason vyema hiyo kitu 'kuachana bila shari!'
Kuachwa kunauma aisee,...kama unaona vipi basi mpe nafasi tena ili 'akubwage!,' naye ajiskie.
 
Haka ka mada bwana, yaani mpaka mmmeacha kwenda kula!!!! na kazi za watu huko maofisini mnafanya kweli? Hivi mkwele anatangaza muda gani baraza lake la gahawa, sorry la mawa-zero.
 
Haya mpwa, na mie nimekugongea senkyu, so huyu daandangu kweli ndo unam-bwaga hivyo au unatania mpwa??
 
humu ndani mutamu san nimemkimbiza na mada yake MCHUNGAJI,WACHA ASHTUKE, ATI WEWE NI STELLA WA MAGOMENI...

Mi niliona kelele, labda ungeuliza namna ya ku-black list unwanted calls na SIO KUTONGOZA MADEM KSHA MNAWAPGA CHINI, ARABUNI UTANYONGWA....

EM MAN AND A HALF!
 

Hufai wewe Stella !
 
hahahahahah! lol! JF bwana!

Huyo dada kichwa chake kitakua kibovu, hivi mlivyojaa anahangaika kupiga simu hadi mara 29 mwe, mimi nakupigia mara mbili tu usipopokea ndio imetoka hiyo ya nini kujiumiza maisha yenyewe mafupi. Ila dawa ni hii kama walivyosema wapwaz juu akipiga pokea halafu usiongee nae ikifika wiki bado anaendelea kupiga basi atakua anachimba hela huyo. Dawa c kutopokea unapokea halafu unaacha hewani mafuta yamuishie
 
Tatizo mnakimbilia kwenye ma'simu ya bei mbaya IPhone sijui Ipod,kuna simu hiyo BlackBerry ya Mchina "jiwe na nusu" tu ina Option ya Black list,unaweka hapo number sumbufu zako mpaka 10 then unaiweka hiyo Black list Mode yako On,unapiga zako mruzi kwa kwenda mbele,kila akipiga atakuwa hakupati kabisa,mimi nilikuwa na tatizo kama hili nikamtafuta huyu Mchina nikamaliza kazi,ukiamua unaweka "Off" anakuwa anakupata.
 
Rev ww siyo mchungaji mzuri, unakula kondoo wako tena, kumbe ukiwa unafundisha unafanya uchaguzi yupi wa kuchinja, aiseee sasa umeshajinja kondoo wangapi Rev...!!??
 
Najua kuna cm nyingi za mchina zina option ya kuweka hadi namba tano tofauti kwenye back/black list ama ya cm au sms! Nadhani hiyo inaweza kusaidia acje
Angalizo:
wale wanaodaiwa naomba wac2mie opt hii unaweza kukatwa mapanga !
Ni kweli kabisa hata mimi natumia simu ya mchina na kuna namba moja hivi sumbufu nimeizuia.

Kama simu yako ni Nokia ya mchina Nenda kwenye MENU > Call centre > General call setting > Black list > kutegemeana na simu yako jaza namba za simu ambazo hutaki wakusumbue > Done > Save

Nadhani umenipata hapo, hata simu aina ya G-Tide zina option kama hii
 
mnh bora JF mmenifungua macho,
kuna mtu nilikuwa nikimtext mara zote nilikuwa naambiwa 'message not delivered'...
kumbe ameniblock???:embarrassed::embarrassed:

wewe mtu najua ni memba wa JF na unasoma hapa,
ungeniambia mie nisingekusumbua,
unavyonifikiria sivyo kabisaaa,....
 

Kumbe haya mambo yapo eeehhh pole sana aisee.
 

...ohhh noo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…