Nitawezaje Kukabiliana na Majaribu Haya?

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Waheshimiwa habari zenu!
Nina jamaa yangu mmoja ambaye tumesoma wote chuo. Ameoa na kwa sasa ana mtoto m1. Kutokana na kupunguzwa kazini kwa sasa anahangaika kutafuta kazi mikoani. Kodi ya Chumba chake cha hapa dar imekwisha tangu January na mwenye nyumba kawavumilia kashindwa, anawafukuza. Jamaa kwa kuzingatia mahusiano yetu ameniomba nikae nae kwa muda kwa vile mimi nimepanga chumba na sebule. Nilisita lakini baada ya jamaa kunibembeleza sana sikuwa na namna kwa vile lilikuwa ni suala la muda tu. Alipokuja yule dada kwa kweli niliona vyumba vimefurika balaa yaani hata kupita taabu achilia kulala na kupika. Kutokana na hali hiyo imetulazimu tutumie kitanda ki1 ambacho ni 6kwa6 ili angalau nafasi ibaki kwa matumizi mengine. Taabu ninayopata hasa usiku kwa kweli shahidi ni malaika; halafu mdada ni mlala hovyo. Siku tatu zimeshapita ndani ya majalibu, nifanyeje jamani na hawana ndugu hapa jijini kwao Songea? Shida si kula ila ulijali ndo kikwazo!
 
Wewe unataka kumtafunia mwenzio mkewe..unatafuta ruhusu tu humu jamvini umtende rafikiyo. Rafiki yako has been through so much already. hakuna kitu kibaya kama mwanaume afukuzwe/aachishwe kazi, kisha afukuzwe kwenye nyumba sababu ya kodi, atangetange na familia yake...halafu at*mbewe mkewe, tena na rafiki yake! You will completely break your friend to death...please no matter what, DON'T DO IT!
 
Sasa na wewe unalalaje kitanda kimoja na wanandoa?? Waachie kitanda wewe lala sebuleni
 
Wewe unataka kumtafunia mwenzio mkewe..unatafuta ruhusu tu humu jamvini umtende rafikiyo. Rafiki yako has been through so much already. hakuna kitu kibaya kama mwanaume afukuzwe/aachishwe kazi, kisha afukuzwe kwenye nyumba sababu ya kodi, atangetange na familia yake...halafu at*mbewe mkewe, tena na rafiki yake! You will completely break your friend to death...please no matter what, DON'T DO IT!

Naungana na wewe,
Brother please please please,ASHAME THE DEVIL DON'T EVEN THINK OF IT!
Ni bora hata ukajitolea kuwa unalala kwenye kochi au chini kuliko kufikiria hayo,please
 
Pole
Yupo kwenye wakati mgumu sana mvumilie
Mungu atakulipa kwa ukarimu unaowatendea
kuwa makini sana usije leta uadui wa milele badala ya kupata baraka mkaishia kuuana
lala kwenye kochi kama ulivyoshauriwa maana vishawishi vipo vingi
 
Wapatie nauli waende songea nyumbani kwao wakajipange upya,mambo yakiwa sawa arudi mwanaume pekeyake dar kutafta kazi akipata apange chumba amlete wife wake waanze maisha.
 
Lakini nao wana set nzima ya makochi na tumezibebanisha pamoja hivyo hata kulala humo ni kazi ndo maana nashindwa kufanya hivyo, nilitegemea labda mtanishauri vinginevyo. Sihitaji kummega huyu dada!
 
Nalo hili neno
 
Kuwa uyaone kwa kweli....

Sababu ya ulofaaa...
 
Lakini nao wana set nzima ya makochi na tumezibebanisha pamoja hivyo hata kulala humo ni kazi ndo maana nashindwa kufanya hivyo, nilitegemea labda mtanishauri vinginevyo. Sihitaji kummega huyu dada!

kwahiyo mnakaaje?
Pangua mengine kayabebanishe chumbani wewe ulale sebuleni.
 
Lakini nao wana set nzima ya makochi na tumezibebanisha pamoja hivyo hata kulala humo ni kazi ndo maana nashindwa kufanya hivyo, nilitegemea labda mtanishauri vinginevyo. Sihitaji kummega huyu dada!

Si ulale hata chini...narudia tena kuuliza UTALALAJE NA WANANDOA KITANDA KIMOJA NA WEWE NI MTU MZIMA??Hapo siongelei kuibiana ila ile hali ya kwamba hujisikii vibaya?
 
Wapatie nauli waende songea nyumbani kwao wakajipange upya,mambo yakiwa sawa arudi mwanaume pekeyake dar kutafta kazi akipata apange chumba amlete wife wake waanze maisha.

ushauri mzuri.
 
Kwa nilivyoelewa huyo rafiki yake hayupo, hivyo jamaa yupo peke yake na mke wa rafiki yake.
 
Wapatie nauli warudi huko Songea, wakati unatafuta hiyo nauli uwe unalala sebuleni usije kuvunja urafiki na huyo jamaa!!
 
Wapatie nauli waende songea nyumbani kwao wakajipange upya,mambo yakiwa sawa arudi mwanaume pekeyake dar kutafta kazi akipata apange chumba amlete wife wake waanze maisha.

yeah!! good idea, wewe Hmaster chukua hii from Mwera na ukaifanyie kazi.
 
Ishu sio kummega peke yake..
Je akilala vibaya ukaona
mwili wake,unajisikiaje?????
 
looooh!pole sana kwa yalokukuta.....Mungu yupo atakusaidia utayashinda gangamala kiume:teeth:
 
Back
Top Bottom