Hmaster
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 346
- 86
Waheshimiwa habari zenu!
Nina jamaa yangu mmoja ambaye tumesoma wote chuo. Ameoa na kwa sasa ana mtoto m1. Kutokana na kupunguzwa kazini kwa sasa anahangaika kutafuta kazi mikoani. Kodi ya Chumba chake cha hapa dar imekwisha tangu January na mwenye nyumba kawavumilia kashindwa, anawafukuza. Jamaa kwa kuzingatia mahusiano yetu ameniomba nikae nae kwa muda kwa vile mimi nimepanga chumba na sebule. Nilisita lakini baada ya jamaa kunibembeleza sana sikuwa na namna kwa vile lilikuwa ni suala la muda tu. Alipokuja yule dada kwa kweli niliona vyumba vimefurika balaa yaani hata kupita taabu achilia kulala na kupika. Kutokana na hali hiyo imetulazimu tutumie kitanda ki1 ambacho ni 6kwa6 ili angalau nafasi ibaki kwa matumizi mengine. Taabu ninayopata hasa usiku kwa kweli shahidi ni malaika; halafu mdada ni mlala hovyo. Siku tatu zimeshapita ndani ya majalibu, nifanyeje jamani na hawana ndugu hapa jijini kwao Songea? Shida si kula ila ulijali ndo kikwazo!