Naomba kuuliza ni taasisi au kampuni au mtu binafsi anaweza kutoa msaada kwa mtu aliepata admission ya kwenda kusoma diploma ya land suryey(GEOMATICS).
Kwa mkatabata ili badae aje afanye kazi kwake baada ya kumaliza chuo.
Tafadhali naomba kujulishwa..
. namanisha nahitaji mtu au taasisi ya kunisponser nikasome