Nitawezaje kupata msaada wa kusomeshwa?

Nitawezaje kupata msaada wa kusomeshwa?

tiby

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
40
Reaction score
7
Naomba kuuliza ni taasisi au kampuni au mtu binafsi anaweza kutoa msaada kwa mtu aliepata admission ya kwenda kusoma diploma ya land suryey(GEOMATICS).

Kwa mkatabata ili badae aje afanye kazi kwake baada ya kumaliza chuo.
Tafadhali naomba kujulishwa..
 
. namanisha nahitaji mtu au taasisi ya kunisponser nikasome
 
tiby,

Wewe ni jinsia gani? na dini gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom