Nitawezaje Kupata shule rafiki kutoka nje ya nchi

Nitawezaje Kupata shule rafiki kutoka nje ya nchi

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Hello wapendwa habar?

kipind nkiwa nasoma shule fulan huk moshi shule yet ilikuwa na marafik kutok scotland every years walikuwa wanakuja kututembelea kwa kuambatana na wanafunz wao na sis mara moja moja tulipewa mwaliko wa kwend scotland kuwa tembelea pia.ambapo waliweza kutuafford each and everythng

kwa sasa mim pia ni mwl.huku kigoma nlikuwa napenda kufahamu je nawezaje na mim kupata school partner kutoka ulaya ambao tutaweza kutembeleana.

natanguliza shukran zangu kwa majibu yenu wote.
 
Acha umaskini wa fikra. Jiandae kisaikolojia .hata Harpo Kigoma unaweza pata au kuwa rafiki wa watu wengine. Sio mpaka wazungu
 
sasa umesema kipindi unasoma mlikuwa na hao marafik,kwann usiwasiliane na hiyo shule wakupe A,B,C.........?
 
wasomi wa bongo kwa kujitoa akili wanahold namba moja..hivi huo urafiki ulikusaidiaje sasa mbona umekuwa mwalimu?
 
wasomi wa bongo kwa kujitoa akili wanahold namba moja..hivi huo urafiki ulikusaidiaje sasa mbona umekuwa mwalimu?

kwani kuwa mwalimu ni dhambi au kokosa akili? watu wengine sijui kichwani mna nini!
 
wasomi wa bongo kwa kujitoa akili wanahold namba moja..hivi huo urafiki ulikusaidiaje sasa mbona umekuwa mwalimu?

Kwan ualimu sio kaz acha upimbi wew mtot wa kiume kama huna cha kukoment its better ukaenda kuota moto na mkeo.
 
Back
Top Bottom