Mkuu Kwa mtu mwenye hao followers anaweza kupata kiasi gani kwa wiki au kwa mwexi6Kama ni Twitter you need 10000 followers kupost na kulipwa na inahitaji one year kufikia hiyo level
hakuna pesa laini namna hio,
Ahaa🤣 ningumu lakini zina pesa nyingi kuna profile ya yule dada alisha lipwa 100,000$ kwa ku transalte hiyo pesa hata uajiriwe miaka mingi huwezi kumfikia na hapo yeye utakuta katumia miaka michache chini ya mitano au minne kuipataKwa taarifa yako; Kazi za online nyingi ni ngumu mara nyingine kuliko hizi kazi za ajira za kawaida; hivyo usije ukafikiri ni hela za bure na ndio sababu nimesema nimelenga GenZ (fresh graduate wanao elewa haya mambo ya online). Pengine hujawahi kuona ajira za online work...samahani lakini....
Hayo ni mambo yanayohitaji ujuzi na kipaji, pia ni ngumu kupata majibu ya uhakika humu, hakuna mtu wa kukupa njia za kupata maokoto hivihivi kizembe, anyway usikate tamaa katika jambo lako, ukiona mambo yanazidi kuwa magumu kuuza figo ni suluhisho bora la kujikwamua na matatizo ya kiuchumi.
200$ mpaka 700$ inategemea na engagement na impressions utakazopata .. Kuna mdau wa Twitter hukunja hadi 3700$ ila huyu yeye huandika hizi articles za kawaida tu za maisha na maswala ya mapenzi . Na zina wasomaji wengiMkuu Kwa mtu mwenye hao followers anaweza kupata kiasi gani kwa wiki au kwa mwexi6
Fanya vitu vingineView attachment 3540956
Jamaa kama huyu kuja kumpata kwa kazi za kawaida offline utasubiri sana😓
Vitu ganiFanya vitu vingine
Utajua mwenyewe mimi najuajeVitu gani