gachacha
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,584
- 3,977
Sio mjanja hizi mambo wanafaidika wachache sana ni sawa na betting, forex, wengi huwa wanachakazwa kwa kupata hasara, ila wajanja wananufaika kwa CCMSawa mwananchi mjanja... Endelea kuwa mjanja hivo hivo ukidhani kila mtu anawinda hiyo hela yako..